Meneja wa
Huduma za Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas
(kushoto), akimkabidhi kadi ya akaunti ya akiba mteja mpya Bi. Lusia Benson
alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho
ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON
Meneja wa Huduma za
Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas
(kushoto), akimkabidhi zawadi ya tisheti Bi. Vitoria Silayo baada ya kufungua akaunti ya akiba alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya
Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam (katika) Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi.
Afisa Masoko wa Benki
ya Biashara Mkombozi Bw. Antony Munyambo (kushoto), akimkabidhi kadi ya akaunti
ya akiba mteja mpya Bi. Lucy Peter alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya
Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Huduma za
Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas (kushoto),
akimkabidhi kadi ya akaunti ya akiba mteja mpya Bi. Jesinta Benson alipotembelea banda la benki hiyo
katika maonesho
ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi (kulia), akimuonesha Bi. Victoria Silayo kipeperushi chenye
maelezo ya huduma za kibenki alipotembelea banda hilo kwaajili ya kufungua
akaunti maalumu ya akiba .katika maonesho
ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Erick Musiba (kulia),akiwaonesha wananchi
kipeperushi chenye maelezo ya MWANA ACCOUNT kwa ajili ya watoto walio na umri
chini ya miaka kumi na nane, inayomuwezesha mzazi kuweka akiba kwa ajili ya
watoto ili kuwajengea tabia ya kujiwekea akiba wanapofikia umri wa kujitegemea.
Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi (kushoto), akimuelezea
mwananchi kuhusina na akaunti ya bima alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya
Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment