Afisa
Uhusiano wa Bodi hiyo, Hamis Sungura (kushoto) akimuelezea mwananchi huduma zinazotolewa na bodi hiyo
aliyotembelea banda lao lililopo kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’
jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON
Wanachi wakipata maelezo mbali mbali
yanayohusiana na huduma zinazotolewa na Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) walipotembelea
banda hilo lililopo
kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ jijini Dar es Salaam.
Mashaka Bundala
kutoka Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) akimsikilia mwanachi aliyetembelea banda la bodi hiyo kwenye
Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa
‘Sabasaba’ jijini Dar es Salaam.
Afisa
Uhusiano na Msaidizi wa Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Atugonza Samweli (kulia) akimuonesha mwananchi kitabu kinachoelezea maadili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
wakati alipotembelea banda la Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’
jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa
banda la Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) lililopo kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’
jijini Dar es Salaam.
Wanyakazi wa
Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) wakiwa kwenye picha ya pamoja katika banda lao lililoko kwenye Maonesho
ya 43 ya Biashara ya Kimataifa
‘Sabasaba’ jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment