RAIS DKT. MAGUFULI AZAWADIA KITABU CHA MWONGOZO WA SALA NA RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISTA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA - FAHARI NEWS

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, August 8, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZAWADIA KITABU CHA MWONGOZO WA SALA NA RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISTA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea kitabu cha Muongozo wa Sala toka kwa  Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga. Kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla na kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya TEC kumtembelea Rais Magufuli ili kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages