Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na
Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye Futari aliyowaandalia pamoja
na Viongozi mbalimbali, tarehe 13 Machi, 2026.
Viongozi mbalimbali
pamoja na wananchi wa Chakechake, wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika
Kiwanja cha Kufurahisha watoto Tibirinzi, Mkoa wa Kusini Pemba, tarehe 13
Machi, 2026.
0 Comments