RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LONDON NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA MALKIAELIZABETH II WA UINGEREZA. - FAHARI NEWS

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, September 18, 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LONDON NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA MALKIAELIZABETH II WA UINGEREZA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza yatakayofanyika tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini London.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages