Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu na
Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Dk.Boniface Bulamile akizungumza na watalaam wa sekta ya ujenzi
(hawapo pichani) wakati akifungua semina endelevu ya watalaam wa Sekta ya ujenzi nchini ya kuwajengea uwezo watalaam wa sekta
hiyo na kujadili mikataba ambayo inawaongoza katika utekelezaji wa majukumu yao
iliyofanyika jijini Dar es Salaam (kulia) QS
Albert munuo. Kaimu Msajili wa Bodi hiyo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON)
Watalaam wa ujenzi wakifuatilia mada mbali mbali katika
semina endelevu kwa ajili ya kujadili mikataba ambayo inawaongoza katika
utekelezaji wa majukumu yao ilioandaliwa na Bodi
ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB),
Baadhi ya Watalaam wa ujenzi wakiwa katika picha ya
pamoja wakati wa semina endelevu kwa ajili ya kujadili mikataba ambayo
inawaongoza katika utekelezaji wa majukumu yao ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi
(AQRB).
No comments:
Post a Comment