Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid
Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma
Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mheshimiwa Maulid Mtulia akiapa kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya
CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin
Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini
Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya
CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment