Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,
John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, Aprili
1, 2018 akiwa njiani kuelekea Geita ambako Aprili 2, 2018 anatarajiwa
kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru. Kiulia ni
mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Aprili 1, 2018 akiwa njiani kwenda Geita ambako Aprili 2 , 2018 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment