About Me

header ads

TANZANIA YATAKA HATUA ZA DHATI KULINDA ZIWA TANGANYIKA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) uliofanyika Oktoba 25, 2026 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA), Bw. Mfumu Richard akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) uliofanyika Oktoba 25, 2026 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) uliofanyika Oktoba 25, 2026 Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Dkt. Emma Liwenga akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) uliofanyika Oktoba 25, 2026 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akifuatilia majadiliano mbalimbali ya wajumbe wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Usimamizi ya Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) uliofanyika Oktoba 25, 2026 Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments