Makamu wa Rais Akutana na Ujumbe Kutoka UNICEF na Balozi wa Japan - FAHARI NEWS

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, April 13, 2018

Makamu wa Rais Akutana na Ujumbe Kutoka UNICEF na Balozi wa Japan

 Makamu wa Rais akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman leo ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Masaharu Yoshinda ofisini kwa  Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Makamu wa Rais akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Masaharu Yoshinda ofisini kwa  Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages