Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili
ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine
Mahiga
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa China hapa nchini Wang Ke
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya
mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania
TTCL-Corporation Omary Nundu mara baada
ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania
TTCL-Corporation Waziri Kindamba aliyefika Ikulu pamoja na Mwenyekiti wa Bodi
hiyo kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa
Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja
na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation
Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanahabari kuhusiana na Shirika la Mawasiliano la Tanzania
TTCL-Corporation. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania
TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Waziri
Kindamba
Mwenyekiti
wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu
akizungumza kuhusu Shirika hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano
la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika hilo Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment