About Me

header ads

Makamu wa Rais Azindua Baraza la Vijana Zanzibar

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua Baraza la Vijana Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihamasisha vijana wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiwa pamoja  na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu 

Khamis Rashid Kheri. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Sehemu ya waliohudhuria uzinduzi wa baraza la vijana Zanzibar. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment

0 Comments