Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu awataka Bohari Kuuu ya Dawa MSD kuweka nembo ya GoT (Government of Tanzania) kwenye dawa zote zilizonunuliwa na Serikali ili kuweza kuepuka Uchepushwaji wa dawa kwenye vituo vya Serikali vinavyotoa huduma ya Afya wakati alipotembelea Hospitali ya Amana.

0 Comments